RASMI: MBWANA SAMATTA AKUBALI KUJIUNGA NA KLABU YA ASTON VILLA - Mshambuliaji huyo raia wa Tanzania siku ya kesho atasafiri hadi nchini England kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya afya - Imeelezwa kuwa Aston Villa imekubali kulipa kiasi cha Paundi Milioni 9 sawa na zaidi ya Shilingi za Kitanzania Bilioni 27 kwa ajili ya uhamisho wa Samatta #JFSports

Comments